Wanachama wa SCHS ni Wafanyakazi wa SUA waliopo kwenye ajira za kudumu, ajira za mkataba kwenye miradi mbalimbali iliyopo Chuoni, mkataba chuoni na wastaafu